Headlines News :
Home » » TAIFA STAS YABANWA MBAVU UGENINI YACHAPWA 2-1 NA MOROCCO

TAIFA STAS YABANWA MBAVU UGENINI YACHAPWA 2-1 NA MOROCCO

Written By kunta kinte on Saturday, June 8, 2013 | 5:17 PM


 

Timu ya taifa ya mpila wa miguu Taifa Stas imejikuta katika mazingila magumu baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa vijana wa Morocco

Morocco ambao walikua nyumbani walionekana wakitafuta ushindi kwa jitihadazote kwani waliwanyanyasa wapinzaniwao kwa mashambulizi ya kutumia winga na kustukiza

Jitihahadazao zilizaa matunda baada ya mabeki wa Stas kutegea of side ambayo ilimfanya kijana wa morocco katika dakika ya 39' kubaki na kipa juma kaseja huku beki wa kati akiamua kujalibu kuzuia lakini ilishindikana na kujikuta akimchezea faulo kija huyondani ya box na muamuzi kulazimika kuto penat na kadi nyekundu kwa beki huyo huku A.Hamdallah akipiga penat safi ilio mshinda juma kaseje na kutinga wavuni

Msumari wa moto ulishindiliwa katika dakika ya 51 na kijana Y. El-Arabi ambaye alishinda kistaa baada ya kugongeana pasi katika rango la Stas na kuwatoroka mabeki na kubaki peke yake ambapo alimpiga chenga kipa juma kaseja na kukwamisha mpila wavuni

Taifa Stas wakafanya mabadiliko kazaa ambayo yakaleta matunda kwani waliamka na kuanza kulishambulia lango la Morocco na kusababisha dakika ya 61 kijana A,Kiemba kuifungia Stas bao zuri alilo pigia umbali mrefu kidogo na mpira kumshinda kipa wa morocco na kutinga kimiani

MBAKA MWISHO WA MCHEZO HUO MABAO NI 2-1

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template