Headlines News :
Home » » ISRAEL YA ENDELEZA UDHALIMU WAKE KWA PALESTINA

ISRAEL YA ENDELEZA UDHALIMU WAKE KWA PALESTINA

Written By kunta kinte on Saturday, April 27, 2013 | 11:07 PM

IsraelTaifa la Israel limeendelea kulionea taifa la palestina baada ya kuwabomolea makazi yao katika eneo la ukingo wa magharibi. kwa msaada wa askari wake makatili
Umoja wa ulaya umeikosoa Israel kwa kubomoa majengo kazaa ya raiya wa paiestina katika ukingo wa maghalibi wa mto jordan ikiwemo AL QUDS  ya mashaliki na hivyo kuwafanya mamia ya wapalestina kukosa makazi.
Umoja wa ulaya umesema umesikitishwa sana na utawala wa Tel Aviv kwa kubomoa majengo 22 kuazia tarehe 23-na 24 za mwezi huu.hatua ambayo imepelekea raiya 28 na wakiwemo watoto 18 kukosa makazi yao,
Ubomoaji huo wa utawala wa kizayuni umewaathili pia wapalestina wengine 120 wakiwemo watoto 57.
Ujumbe wa ulaya ulio tembelea Baytul muqaddas na Ramallah Wamesema kuwa baadhi ya majengo yalio bomolewa na Israel yalijengwa na nchi wanachama wa umoja huo
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template