Headlines News :
Home » » TANZANIA INAELEKEA WAPI KWA SASA

TANZANIA INAELEKEA WAPI KWA SASA

Written By kunta kinte on Wednesday, May 8, 2013 | 4:24 PM


                   





SALAM NDUGU WA TANZANIA?
MADA HII INAWAHUSU VIONGOZI NA WANANCHI KIUJUMLA!
Hii ni kwasababu tunaipenda sana nchi yetu yenye amani na daima tunasimama kuilinda amani ya nchi.
Haya yote ni kwasababu ya mambo yanayo tokea katika nchi yetu ambayo yana hatalisha amani ya nchi

Ilikulinda amani katika nchi yetu inahitajika busara sana kuliko nguvu. na hihi ni kwa sababu tanzania ni nchi huru na kila raiya anauhuru wa kuongea na kukosoa kishelia paletu panapo hitajika na selekali inapaswa kumsikiliza yeyote yule pale tu anapotoa hoja nzuri yenye hadhi ya kulinda amani na kuliendeleza taifa

Lakini selekali yetu imekuwa kinyume na  hivyo anapo tokeza mtu au watu au kundi kukosoa kitu fulani au uchafu unao fanyika aidha ni kwa baadhi ya viongozi aidha kwa matajili wakubwa selekeli hutumia rugha chafu na kuwaita[Waharibifu wa aman-Wachochezi wa vulugu-Wanao sababisha fujo nchini]hivyo hutumia nguvu kubwa sana kwa kuwapiga au kuwakamata na kuwafunga kwa kesi za ajabu na wengine hufanyiwa vituko mbaka kujutia walicho kisema. na hutumia vibaya jeshi la police[F.F.U]au jeshi la kulinda amani tz

Hii imekua ni tofauti na wageni kutoka pande za dunia wanapokuja kwa kivuli cha uwekezaji selikali huwasikiliza na hutumia lugha laini kwa kuwatuliza na kuwatatulia matatizo yao
     
                                              KWA MFANO
DK ULIMBOKA, huyu alipigania maslahi ya madaktali        
                                                      

                                  

MWENYEKITI WA JUKWAA KUU LA WAANDISHI WA HABARI, Absalom Kibanhda    Huyu alihoji kufungiwa kwa gazeti la mwana halisi.Hiki ndicho kilicho mkuta              

               
UWAMSHO.hawa walisimama kutetea masrahi ya nchi yao ya ZANZI BAR na kuwafahamisha wananhi wa nchi hiyo umuhimu wao katika muungano wa TANZANIA       
         
   
   
 Je serekasli kwamuonekano huu ndo tutaili amani au ndo tuta sababisha chuki ambayo ndio chanzo cha kuvuruga amani

USHAULI NI KWAMBA,Kupiga mabom ya machozi.virungu.maji ya kuwasha na kuwafunga watu ovyo sio kumaliza tatizo.
 
KUZIBITI TATIZO, ni kuwasikiliza walalamikaji na kuwatatulia haraka malalamiko yao

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template