Borussia Dortmund Yaichapa Bayern Munich kwa jumla ya magoli 4-2 Katika
mchezo ulio chezwa hapo jana katika kinyaganyilo cha kuwania kombe la
SUPER CUP .
Mchezaji Marco reus wa borussia dortmund ndie aliye fungua kolam ya magoli katika dakika ya [6]
Huku goli lingine likipatikana katika dakika ya [56] kabla ya gundogan kupiga la tatu katika dakika ya[57] huku marco reus tena akishindilia msumali wa moto kwa bayern munich katika dakika ya [86]
Huku bayer munich wakipata magoli yao kupitia kwa winga hatari Arjen Robben katika dakika ya [54] nadakika ya [64]
Kipigo hicho kimekuwa kibaya kwa kocha mpya wa bayern munich Pep Guardiola
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !