Headlines News :
Home » » BORUSSIA DORTMUND YAFANYA KWELI ULAYA

BORUSSIA DORTMUND YAFANYA KWELI ULAYA

Written By kunta kinte on Wednesday, April 24, 2013 | 4:08 PM

Klabu ya Borussia Dortmund imefanikiwa kuibuka na ushindi zidi ya timu ngumu ya Real Madrid.Timu hiyo iliokuwa nyumbani kwake ilibuka na ushindi huo wa mabao 4-1katika mchezo huo wajeluman hao walimtumia shujaa wao pekee [Robert lewandowski] kufunga mabao yoye manne. Nusu fainali hiyo iliwasisimua watu wengi kuto kana na soka safi lililo oneshwa na dortmund. Mechi hiyo iliwaacha vichwa chini washabiki wa Madrid
Ushindi huo umezidi kuamsha hisia za mashabiki wa pande zote mbili kutofahamu ninani atatinga fainali. Japo wengi wanaitabilia dortmund kwasababu wana nafasi kubwa ya kutinga fainali. kwani jeshi la Real madrid litakuwa na wakati mgumu mno japo watakuwanyumbani  kwao. Ili kuvuka wataitaji goli 3-0 huku wenzao wakiitaji sale tu kukamilisha ratiba
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template