Headlines News :
Home » » BUYERN YAUWA LIGI YA MABINGWA

BUYERN YAUWA LIGI YA MABINGWA

Written By kunta kinte on Tuesday, April 23, 2013 | 10:28 PM




Timu ya soka buyern munich imeonesha uwezo wake wa kandanda ulimwenguni baada ya kuifumua vibaya timu ya soka Barcelona kwa magoli 4-0. Timu hiyo ilipata ushindi huo kipindi cha kwanza kupitia kwa mchezaji wake hatari Thomas muller goli hilo lilidumu mbaka mapumziko
 kipindi cha pili kilianza kwa kasi sana kwa pande zote mbili kuswambuliana kwa kasi. Buyen ilijipatia bao la pili kupitia kwa mshambulia wao hatari Gomez.Haikuishia hapo winga Loben ndo uliekuwa mwiba mchungu kwa barca kwani aliwakusanya mabeki alivyo taka yeye na kupachika bao la tatu kiufundi zaidi.na muller kuitimisha la nne 
Huku maamuzi ya lefa na laiz men yaki wanyima pelnat zawazi kabisa buyern munich        
Huku mshambuliaji hatali wa barca mass Akishindwa kabisa kuonesha vitu vyake
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template