Headlines News :
Home » » RIVELPOOL YAISAMBALATISHA NEWCASTLE UNITED KWA GOLI 6-0

RIVELPOOL YAISAMBALATISHA NEWCASTLE UNITED KWA GOLI 6-0

Written By kunta kinte on Saturday, April 27, 2013 | 9:44 PM


 

Timu ya livelpool aimeibuka na ushindi mnono katika mechi iliopigwa hapo jana zidi ya newcastle.Newcastle ambayo ilikuwa katika uwanja wake wa nyumbani ilijikuta ikipata wakati mgumu baada ya kupigwa bao 6-0.bao la kwanz lilipatikana katika dakika ya 3liki wekiwekwa kimiyani na Agger. Anderson akipiga lapili dakika ya 17.Huku Sturridge akipiga mbili dakika ya 54-60.Huku Borini akipiga la 5 dakiki ya 74.Huku Anderson akipiga tena  msumali wa moto na kuhitimisha kalamu ya magoli dakika ya 76.Ushindi hio wa liverpool umekuwa mwiba kwa newcastle kwani imejikuta katika hali mbaya mno katika nafasi za chini ya msimamo wa ligi hiyo
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template