Old Trafford
usiku wa kuamkia leo.Baada ya kuipa kisago Aston villa cha mabao 3-0.man u ilipata magoli hayo kupitia kwa mchezaji wake hatari [RVP]alie ionesha dunia ushujaa wake wa kupachika mabao hayo kipekee zaidi.Ushindi huo umeifa man u kufikia pwenti ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ile hata kama itapoteza michezo yote ilio bakiza.Tofauti na wote RVP alionekana akiwa na furaha zaidi kuliko wenzake wote
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !