Korea kaskazini imekataa mazungumzo na Korea kusini juu ya kuanzishwa tena kwa shughuli za uzalishaji wa pamoja katika viwanda.
Huku viongozi wa nchi hiyo wklisema kwamba ombi hilo ni unafiki mkubwa.
korea kusini iliipa masaa 24 korea kaskazin ili ikubali ombi ilo juu ya mustakabali wa kiwanda cha Kaesong na kuonya kwamba ita chukua hatua kali kama itapuuzia
Raisi wa korea kaskazini[KIM JONG UN]akitupilia mbali wito huwo uliotolewa na [SEOUL]huku wakitupa lawa kwa kolea kusini kwamba yenyewe ndo chenzo cha mgogolo huo katika kiwanda hicho na kuongeza kwamba kuweka zaidi mashrlti hakujengi lolote ila ni kuongeza mvutanohuo kuwa katika hali mbaya zaidi
Wakuu wa viwanda vya korea kusini ambavyo vina fanya kazi zake katika eneo la Kaesong wameapa kubaki katia eneo hilo kutetea maslahi na kupigania haki yao bila ya kujali hatua yoyote itakayo chukuliwa na serikali ya seoul.
Pamaja na mvutano ulio kuwepo pande mbili hizo,uwamuzi wa serikali ya korea kaskazini wa kusitisha shughuli zake za viwanda haukutarajiwa na mataifa hayo kiujumla hayakutalajia kama mgogolo huwo ungeathili viwanda vya pamoja
Kufungwa kwa eneo hilo la viwanda kuta athili chanzo cha mawasiliano ambayo yalio kuwa yamebaki kati ya nchi hizo
Peninsula ya korea imejikuta ikiingia katika mgogolo baada ya hatua iliochukuliwa na korea kaskazini la kufanya jalibio lake la nyuklia mwezi Februari na kuizuia korea kusini kushiliki katika eneo la uzalishaji wa viwanda vya kaesong,
Home »
habari ya kimataifa
» MVUTANO WA KOREA KASKAZIN NA KOREA KUSINI WAFIKIA PABAYA
MVUTANO WA KOREA KASKAZIN NA KOREA KUSINI WAFIKIA PABAYA
Written By kunta kinte on Friday, April 26, 2013 | 4:24 PM
Labels:
habari ya kimataifa
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !