Habari ndugu zangu watanzania.Kalibuni katika mada hii ambayo inanitatiza baada ya kuifikilia kwa kina nchi yetu.Mungu aliumba dunia na kuumba viumbe wengi sana Lakini alipomuumba binadam alimpa akili na kumkabizi mamlaka ya kuitawala dunia.Hivyo akili ilitumika kutofautishia vituvingi Ikiwemo[MATAIFA-MABALA-MAKABILA]na nk,Akalipendelea bala moja ilikutatua matatizo ya viumbe ulimwenguni..Ndani ya bala hilo likatoka taifa mama nalo ni [Tanzania]Nchi hii ikapewa kilaaina ya rutuba ya mimea na kila aina ya mali za thamani ulimwenguni.Cha ajabu nchi hii ni miongoni mwa nchi zenye umasikini mkubwa duniani
Wananchi wanakumbwa na matatizizo ya kila namna ikiwemo janga la njaa. Jee ni nini hatma ya nchi yetu?
KWA MFANO
- Tanzania ina madini ya kila aina yenye thaman na yale ambayo hayapatikani kokote ila [Tz]tu Je hayatumiki? mbona hakiwi chanzo cha kunyanyua uchumi wetu!
- Tanzania ina udongo wenye rutuba na inazalisha kila aina ya vyakula vilivyomo dunian Mbona janga la njaa halichezi mbali nasi?!
- Tanzania ina vyanzo vingi vya maji Mbona shida ya maji ni kubwa mno?
- Tanzania ina kila aina ya miti mkubwa sana ya mbao Mbona kuna uhaba mkubwa sana wa madawati na viti mashuleni?
- Tanzania inavitega uchumi vingi sana kama[Misitu na Mbuga za Wanyama-Bahari-Milima mikubwa-Makaa ya mawe-Mafuta-Gesi na Makumbusho kibao Lakini vitu hivi vyote havioneshi faida yake kwa watanzania ! JE TATIZO LIKO WAPI /
- JE WATANZANIA HAWANA ELIMU
- JE WATANZANIA HAWAJITAMBUI?
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !