Headlines News :
Home » » HATIMAE BAYERN MUNICHI YAUWA UGENINI

HATIMAE BAYERN MUNICHI YAUWA UGENINI

Written By kunta kinte on Wednesday, May 1, 2013 | 4:42 PM

                                                                                 


 Thomas Mueller celebrated after scoring to give Bayern Munich a 4-0 lead.

Timu ya klabu ya Bayern munich imeibuka kidedea baada ya kuibuluza vibaya timu Barcelona kwa mabao 3-0 katika mchezo wa maludiano ulio chezwa katika uwanja wa New camp nchini hispein.
timu hiyo ilipata ushindi huo kipindi cha pili kupitia kwa winga hatari Roben alie fungua kitabu cha mabao
                                                                                                                              https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSPWiiwlFlj7MWK8OIwERcayFLhPP-GHT35Rtrc-ZOTYlnnPv8S


Kabla ya beki mahili wa Barcelona Pique kujifunga kwa shuti kali huku akizani anaoko klos ya hatari iliopigwa kutoka winga ya kushoto na Ribery

Huku Thomas Muelle aki hitimisha kapu la mabao kwa kuunganisha kwa kichwa klos ya Ribery na huku akiwaacha hoi mashaabiki wa baca nyumbani kwao                                                                       

Ushindi huo umeifanya bayern kutinga fainali kwa kishindo baada ya kuifunga baca kwa jumla ya magoli 7-0 na hivyo kufanya zikutane timu mbili za nchi moja katika mchezo wa fainali utakao chezwa uwanja wa   
                                          WEMBLEY STADIUM                                                                          
             NA HIVYO BAYERN MUNICHI V$ BORUSSIA DORTMUND                                 
                           
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template