Headlines News :
Home » » RAIYA WAKAMATWA NA MABOMU TANZANIA

RAIYA WAKAMATWA NA MABOMU TANZANIA

Written By kunta kinte on Saturday, May 18, 2013 | 3:23 PM


 

Polisi nchini Tanzania imesema leo kuwa imewakamata watu watano waliopatikana na mabomu katika mji mkuu wa kibiashara wa Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi Suleiman Kova amesema watu hao watano walikamatwa siku ya Alhamisi baada ya polisi kudokezwa na wananchi. Kova amesema uchunguzi unaendelea kubainisha ni kwa nini watu hao walikuwa na mabomu na walikusudia kuyapeleka wapi. Mnamo Mei 5, palitokea shambulizi la bomu katika kanisa moja la Katoliki mjini Arusha ambapo watu watatu waliuawa na wengine 60 wakajeruhiwa. Gazeti la kila siku la Habari Leo, ambalo lina uhusiano wa karibu na serikali, limesema washukiwa hao watano waliokamatwa ni raia wa Tanzania.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template