Headlines News :
Home » » POLISI WAFANYA VITENDO VYA KINYAMA MTWARA

POLISI WAFANYA VITENDO VYA KINYAMA MTWARA

Written By kunta kinte on Friday, May 24, 2013 | 3:24 PM

Hali ya usalama katika Manispaa ya Mtwara Mikindani imezidi kuwa mbaya baada ya askari polisi kudaiwa kufanya unyama kwa kuwabaka wanawake na kumpiga risasi mjamzito,

 Imegundulika kwama jeshi la Polisi limekuwa likitenda uhalifu kwa wakazi wa mtwara Baada ya askali kuwabaka wanawake,

Polisi pia wanashutumiwa kwa kumpiga lisasi mama mjamzito na kupelekea kifo kwa mama huyo ambae alikimbizwa hospitali huku wauguzi walio pokea mwilihuo wakithibitisha kuukuta na tundu la lisasi mwilini

 
Mbali na unyama huo polisi pia wanadaiwa kuchoma moto nyumba za wananchi katika mtaa wa Magomeni na maduka kadhaa na kupora vitu vilivyomo ndani.

Mbali na unyama huo polisi pia wanadaiwa kuchoma moto nyumba za wananchi katika mtaa wa Magomeni na maduka kadhaa na kupora vitu vilivyomo ndani.

.                      

Fujo ziliibuka tena mda wa jioni katika mkoa huo pande za magomeni ambapo polisi walipiga mabomu ya machozi ili kuwatawanya raiya huku baadhi wakijibu mapigano na wangine kukimbilia hospitali ya mkoa huo
 
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template