Timu yasoka ya mpila wa miguu ya tanzani Taifa Staz leo Mey <26> wanajiandaa kusafili kuelekea nchini Addis Ababa, Ethiopia katika mechi yao ya kirafiki huku ikijiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Morocco
Timu hiyo ikiwa Ethiopia, Juni 2 mwaka huu itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan ambapo siku inayofuata itaondoka kwenda Marrakech, Morocco kwa kupitia Cairo, Misri. Ambakoitaenda kucheza Mechi hiyo ya mchujo wa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Morocco itachezwa Juni 8 mwaka huu jijini Marrakech.
Timu hiyo inakadiliwa kusafili usiku waleo huku ikiwakosa mastaawake wawili wanao kipiga Tp mazembe ya nchini kongo kutokana na ligi ya nchi hiyo kuwa bado haikumalizika wachezaji hao wataikosa mechi hiyo ya kirafiki
Wazamini wa timu hiyo KILIMANJARO premium lager,imeamua kuwatunza wachezaji hao mavazi dizaini ya suti mpya zakisasa ili kuwapa morari wanajeshi hao,
Mbali ya nahodha Kaseja, wachezaji wengine wanaoondoka katika kikosi hicho ambacho kina wiki sasa tangu kingie kambini jijini Dar es Salaam ni Mwadini Ally na Ally Mustafa ambao wote ni makipa.
Wengine ni Shomari Kapombe, Kevin Yondani, Aggrey Morris, Haroub Nadir, Mwinyi Kazimoto, Frank Domayo, Mrisho Ngasa, Khamis Mchana, Amri Kiemba, Salum Abubakar, Simon Msuva, John Bocco, Vicent Barnabas, Mudathiri Yahya, Athuman Idd na Haruni Chanongo.

0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !