Headlines News :
Home » » MUHESHIMIWA PETER MSIGWA AWASHA MOTO JIMBONI KWAKE

MUHESHIMIWA PETER MSIGWA AWASHA MOTO JIMBONI KWAKE

Written By kunta kinte on Sunday, May 19, 2013 | 3:30 PM

VURUGU HIZO ZILISABABISWA NA KAULI YA SEREKALI BAADA YA KUWAKATAZA WANANCHI KUTOKUFANYA BIASHARA MAENEO YA MASHINE TATU HUKU MBUNGE WA JIMBO HILO AKIPINGA AGIZO HILO NA KUWARUHUSU WANANCHI KUFANYA BIASHARA ENEO HILO

Mbunge wa jimbo hilo MH Peter Msigwa alisema kwamba kuwakataza Raiya wake kutokufanya biashara maarahapo ni makosa kwasababu hapo ndipochanzo chawao kulipa kodi za serekali,

Mbunge huyo ikiwasili nagaliyake eneo la tukio
                                                                                                                                                                              
                                 
Gali la mbunge likisukumwa na wananchi kwa furaha likiondoka maeneo hayo baada ya kumaliza hutuba ya mbunge huyo Huku   Askali wa kutuliza gasia wakitazama
                
                                   
Baada ya kuondoka mbunge ndipo askali hao walianza kupiga raiya ovyo huku wakifyatua mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya kuwasha
  
 

Hapo ndipo raiya wapoanza kujibu mapigo hayo kwa mawe na kuchoma vitu njiani
 
  
Bada ya tukio hilo MH mbunge alikamatwa na Polisi kwa kosa la uchochezi wa vulugu


Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template