Headlines News :
Home » » WATU WA MTWARA WAIVIMBISHIA KIFUA SEREKERI

WATU WA MTWARA WAIVIMBISHIA KIFUA SEREKERI

Written By kunta kinte on Saturday, May 18, 2013 | 2:03 PM

Add caption
HARI YA OFU IMETANDA TENA  MKOANI MTWAA BAADA YA KUSAMBAZWA KWA VIPEPERUSHI VYENYE UJUMBE WA KUWATAKA WATU WA MKOA HUO KUTOFANYA SHUGHULI  ZAO ZA KIJAMII SIKU YA IJUMAA YA TAREHE [I7/05/2013] NI SIKU AMBAYO BUNGE LA TANZANIA LINASOMA BAJETI YA WIZARAYA NISHATI NA MADINI 



Malalamiko ya watu wa mkoa huo yalinukuliwa;
 Kwamba serekeri imekuwa ikiusahau mkowa huo kimaendeleo tokea kupata uhuru hadi hivi sasa huku ikitumia mali zitokazo mkoani hapo kuendeleza mikoa mingine;
Hivyo wameamasishana kuto kufanya shughuli muimu za aina yoyote ile huku wakitaka kusimama kwa huduma zote kama vile  
  •  KUSITISHWA KWA SHUGHULI ZA MASOKO
  •  KUFUNGWA KWA MADUKA
  •  KUSIMAMISWA KWA  HUDUMA ZOTE ZA USAFILI  
  •  KUFUNGWA KWA OFISI ZOTE ZIKIWEMO ZA SEREKALI NA ZISIZOKUWA ZA SEREKALI                                                                                                                                     
Huku wakisisitiza kuto kufanya mambo hayo mbaka bajeti ya Wizara ya nishati na madini itakapo somwa ili kufahamu mustakabali mzima wa swala la Gesi na malalamiko yao
Huku wakidai kwamba Serekari imesha zoea kuwapuuza na kuwazarau kwa kuwadanganya pale tu wanapopeleka malalamiko yao sehemu husika

                         NA HUU NDO UJUMBE WAO WA KIPEPERUSHI

                                                                              
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template