Headlines News :
Home » » POLISI WAUWA MTOTO TARIME

POLISI WAUWA MTOTO TARIME

Written By kunta kinte on Friday, May 10, 2013 | 1:43 PM

 NAWAOMBA RADHI KWA PICHA HII YA KUTISHA


 
Polisi mkoani MARA(tarime)wameuwa mtoto wa miaka (9) DEO YAKOB amabye ni mwanafunzi wa darasa la tatu(3) katika shule ya msingi mturu mjini tarime katika kile kilichoripotiwa kuwa polisi walikuwa wakikabiliana na majambazi ambao walikuwa wakiua na kuiba mali za raia waishiyo katika mpaka wa Tanzania na Kenya  

   
    
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template