Headlines News :
Home » » MTOTO MCHANGA AOKOLEWA KWENYE BOMBA LA CHOO NCHINI CHINA

MTOTO MCHANGA AOKOLEWA KWENYE BOMBA LA CHOO NCHINI CHINA

Written By kunta kinte on Wednesday, May 29, 2013 | 3:02 PM

mtoto huyo akitolewa kwenye bomba la choo

Mtoto amabae inasemekana alitupwa chooni na mama huyo mwenye umri wa miaka 22 raia wa China amefanikiwa kuwa hai baada ya juhudi za hali ya juu zilizofanywa na madaktari kwa kuchana bomba la choo pasina kumkata mtoto huyo a,mbae inasemekana alikaa kwenye bomba hilo zaidi ya lisaa limoja.
Ama serikali ya China imesema itamfungulia mashtaka ya kesi ya mauaji mwanamke huyo.
     Hizi ndizo juhudi nzima za waokoaji walivyo nusuru maisha ya mtoto huyo na picha zikionyesha akiwa ndani ya bomba la choo
 
Hapa ni baada ya kuokolewa akipatiwa huduma  
  
The baby boy is in stable condition after being removed from the 3-inch pipe.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Popular Posts

Comments

blogs zinazotamba

Translate

Popular Post

Flag Counter
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. NDOANO YA HABARI - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template